152. ULIYESULUBISHWA

ULIYESULUBISHWA

1.  Uliyesulubishwa,
Mtakatifu Bwanangu,
Uwe ngao shidani,
uniombee mimi.
Uliyesulubishwa,
Mtakatifu Bwanangu!

2.  Wongofu sina hata,
niondolee makosa.
Mwovu akinishtaki
nasumbuka rohoni.
Wongofu sina hata,
niondolee makosa.

3.  Wewe tu nipokee,
nakukumbilia wee.
Hata nifanye bidii,
nikatoe machozi.
Wewe tu nipokee,
nakukimbilia wewe.

4.  Uwe ngao shidani,
Niombee na mimi!
Hapa nikiumizwa,
Saa ya mwisho ikija:
Uwe ngao shidani,
Niombee na mimi!

Comments

Popular posts from this blog

140. MAHALI NI PAZURI

144. MBELE NINAENDELEA

141. PANA JITO, LINA MAJI MAZURI