153. NIMEPITA ULIMWENGU

NIMEPITA ULIMWENGU

1.  Nimepita ulimwengu,
ulimwengu ni mzuri,
lakini natamani
ulimwengu mwingine.

2.  Nimeona watu wengi,
hutafuta daima
Maisha yao yote,
ndiyo taabu na shida.

3.  Imebaki hali njema
ya furaha ya roho:
Hubirini popote;
taabu itatulia.

4.  Msalabani pa Golgota
jerahani mwa Yesu
ni mahali penye raha
kwao wote kabisa.

Comments

Popular posts from this blog

140. MAHALI NI PAZURI

144. MBELE NINAENDELEA

141. PANA JITO, LINA MAJI MAZURI